Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,648 Reaction score 3,290 Sep 1, 2026 #41 Duh! The same to me, ila ni mara chache!
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Sep 1, 2026 #42 Boresha lishe, ili usiwe unaota ndoto za ajabu ajabu. Kula ugali mwingi nyakati za usiku, unaathiri ufanisi wa ubongo na ubongo kucheuwa ndoto. Ndoto ni mojawapo ya kiashiria cha magonjwa ya akili.
Boresha lishe, ili usiwe unaota ndoto za ajabu ajabu. Kula ugali mwingi nyakati za usiku, unaathiri ufanisi wa ubongo na ubongo kucheuwa ndoto. Ndoto ni mojawapo ya kiashiria cha magonjwa ya akili.
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,243 Reaction score 9,657 Sep 1, 2026 #43 Equation x said: Boresha lishe, ili usiwe unaota ndoto za ajabu ajabu. Kula ugali mwingi nyakati za usiku, unaathiri ufanisi wa ubongo na ubongo kucheuwa ndoto. Ndoto ni mojawapo ya kiashiria cha magonjwa ya akili. Click to expand... Ndivyo wanasaikolojia wanavyosema ama?
Equation x said: Boresha lishe, ili usiwe unaota ndoto za ajabu ajabu. Kula ugali mwingi nyakati za usiku, unaathiri ufanisi wa ubongo na ubongo kucheuwa ndoto. Ndoto ni mojawapo ya kiashiria cha magonjwa ya akili. Click to expand... Ndivyo wanasaikolojia wanavyosema ama?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Sep 17, 2026 #44 UHURU JR said: Ndivyo wanasaikolojia wanavyosema ama? Click to expand... Ni uvumbuzi wangu wa kisayansi
UHURU JR said: Ndivyo wanasaikolojia wanavyosema ama? Click to expand... Ni uvumbuzi wangu wa kisayansi