BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu.
Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali.
Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake.
Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia awamu ya tatu 3.
Atatunga sheria za kuwashataki viongozi, waliokuwepo maradarakani..wastaafu walio Tenda vibya wakiwa madarakani.
Atakuwa na Mkono wa chuma wa kijasusi kuwafuata wabaya wa nchi popote pale walipo duniani kupitia mifumo ya kijasusi atakayo unda yeye mwenyewe.
Baadhi Maeneo ya Elimu yake yatakuwa na utata Baadhi sio kote.
Atakuwa kama ni mpole au mtu wa kidini lakini sio uhalisia wake.
Atakuwa ni mwana inteligecia Sana
Atapungaza madaraka ya uraisi kwa Baadhi ya maeneo kama uteuzi wa viongozi wa mashirika ya umma .watapitishwa bungeni sio kwa uteuzi.
Mikoa inayojiweza kiuchumi ataipa utawala majimbo.
Ataunda urafiki na taifa la Ujeruman na china.
Ni mtu serious na Asie na mizaha, Mizaha ...
A dictator looks Alike Person.
Ni ndoto tu.
Niishie Hapo.
I have Dream alisema martin luther juu ya Taifa la Marekani kutawaliwa na kiongozi mweusi kweli Akaja Obama .
Na mm ni ndoto tu wala cjilinganishi na martin luther
Nope.
.............
Ni Ndoto tu hata ww unarusiwa kuota uotavyo mjumbe..hapigwi ,hapingwi..ila ujumbe wake unaweza kuupinga na kuukataa pia.
.....