Huwa magoli anapata lakini hajawahi kuibuka na ushindi katika uwanja wa Spurs katika mechi za ligi.Akihojiwa na kituo kimoja cha Tv huko Uingereza anapoulizwa baada ya kushinda TREBLEE na man City kipi kimebakia akanuuukuu " TO SCORE A GAOL AWAY AGAINST SPURS AND WIN A GAME"
wataalamu wa statistics na wafuatiliaji wa mpira naomba mje ku clarify je ni kweli man city hajawahi kupata goal away against Spurs na ku shida mechi?
Mak*ma mno
Waite tuBAN ina kuhusu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji19][emoji23][emoji23][emoji19]