FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Akihojiwa na kituo kimoja cha Tv huko Uingereza anapoulizwa baada ya kushinda TREBLEE na man City kipi kimebakia akanuuukuu " TO SCORE A GAOL AWAY AGAINST SPURS AND WIN A GAME"
wataalamu wa statistics na wafuatiliaji wa mpira naomba mje ku clarify je ni kweli man city hajawahi kupata goal away against Spurs na ku shida mechi?
wataalamu wa statistics na wafuatiliaji wa mpira naomba mje ku clarify je ni kweli man city hajawahi kupata goal away against Spurs na ku shida mechi?