Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao yakulijenga taifa.
Nimejaribu kutafuta maana ya ndoto humu hii sijapata nazani ndoto nyingi ni zile zile member wengi humu wamekuwa wanaziota zimezoeleka. Sasa ndoto hii nimeota nipo katika mazingira kama ndio naingia naulizwa maswali machache natoa pasport ili niingie nchi ipo magharibi wakati nakaribia kuimalizia Kuota yule alikuwa ananiuliza maswali alinionyesha mtu jinsia ya kike nakuniambia huyu ndie mwenyeji wako atakuongoza Ndoto hii ndio mara ya kwanza nimeamka nimejikuta na hali ya kuogofya Sana sijui ina mana gani