AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Habarini wakuu...
Wanasema ndoto ni maono ya uzoefu wa maisha ya kila siku, sikuwepo enzi za hawa Wanasiasa ila historia imenijuza machache. Sasa leo nimeota ndoto fupi ila ilionionyesha uhalisia wa uhasama aliokua nao Mwalim JK Nyerere dhidi ya Oscar Kambona.
Ndoto inaanza Oscar Kambona anatinga Tanzania akiwa mzee sana na Kigari chake aina ya Toyota Crown kilichochoka sana kuashiria hali yake ya maisha kwa sasa kua ya kawaida sana.
Lengo ikiwa kuja kumsalim rafiki yake mstaafu Mwl.Nyerere ambae alikua ameamua kujipumzisha kwenye kiduka chake cha ujamaa akiuza bidhaa pale mtaani kwetu.
Lakini njia nzima Oscar alikua akilalamikia kwanini alipotua tu katika hii ardhi amegandwa na Askar jeshi waliomsindikiza sawa na mtu alietekwa au asieaminika yaani kwa kuchungwa ndani ya gari lake sawq na Jambazi mpaka kwa Mwl.JKN
Basi alipokwisha fika pale Mwl.JKN akaamuru maaskari wamwache na waondoke kuendelea na shughul zao.
Chakushangaza Oscar Kambona hata alipomsalimia Mwalim hakuitikia na badala yake alifunga kiduka chake na kuelekea kwake.
Oscar akasubir ndani ya kigari chake akijitia matumain wenda Mwl atarudi lakini haikua hivyo akaaamua kutuaga sisi watoto wa mtaa ule na kuondoka zake kwa masononeko.
Nilichojifunza, Oscar alikua anaish na RB ya kukamatwa popote atakapoonekana, Lakin baada ya muda kupita Oscar alidhan yameisha kumbe haikua hivyo na Nyerere aliendelea kukunja mpaka kifo chake.
Vipi wakuu na wazee wa zama hizo ndoto imenidanganya wapi na nimepotoka wapi naomba marekebisho ya kihistoria.
Nawasilisha.