Ndoto niliyo ota kuhusiana na maandamano ya 9.12.2025

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!

Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.

Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.

2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.

3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.

4.Nimeona waandamanaji wakiingia nyumba kwa nyumba na kuwalazimisha wananchi wenzao waandamane.
 
100%
 
Malisa ametoa mwongozo wa maandamano!!

Kwa mwongozo ule kunaweza kusiwe na damu itakayomwagika lakini kushinikiza Raise ajiuzulu huo ni uhaini!!

Nashangaaa Hadi Sasa hakuna taarifa za Malisa kukamatwa na kuhojiwa kuhusu matamshi yake!!
 
Yani polisiccm,watekaji na wauaji wakuu wasipige risasi, hiyo kweli ndoto.. amka braza ulikuwa na njaa labda
 
Naahidi kuandamana Niko tayar kufa nlipoteza kazi yangu sababu ya UBINAFSI wa Wazanzibar mwaka juzi
 
Hapo vip!!

Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.

Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.

2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.

3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.

4.Nimeona waandamanaji wakiingia nyumba kwa nyumba na kuwalazimisha wananchi wenzao waandamane.
Jana alafu ilikua tarehe 17/11? Kwani leo ni tarehe ngapi?
 
Hapo vip!!

Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.

Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.

2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.

3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.

4.Nimeona waandamanaji wakiingia nyumba kwa nyumba na kuwalazimisha wananchi wenzao waandamane.
Ilw subconscious mind,

Mkuu ukiona unaota ndoto za hivo tambua kwamba nro unawaza hayo muda wote
 
Back
Top Bottom