Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
100%Hapo vip!!
Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.
Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.
2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.
3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.
4.Nimeona waandamanaji wakiingia nyumba kwa nyumba na kuwalazimisha wananchi wenzao waandamane.
Ndio maana tunashauri kuna vyakula sio vya kutumia usiku mfano Magimbi,Makande na ViazijNdoto ilikuwa ya saa ngapi hiyo
Mimi ni mtumishi wa Mungu,mizimu ni kwako sio kwangu.Ndoto za mizimu yako ni kama zangu kabisa.
Sawa inaonekana ni mtumishi wa hovyo kabisa wewe.Mimi ni mtumishi wa Mungu,mizimu ni kwako sio kwangu.
Jana alafu ilikua tarehe 17/11? Kwani leo ni tarehe ngapi?Hapo vip!!
Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.
Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.
2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.
3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.
4.Nimeona waandamanaji wakiingia nyumba kwa nyumba na kuwalazimisha wananchi wenzao waandamane.
Yupo Japani huyuJana alafu ilikua tarehe 17/11? Kwani leo ni tarehe ngapi?
Ilw subconscious mind,Hapo vip!!