Sijui kama wanajua ama hawajui hii dhuluma waliofanya hawa watawala wa kimabavu imezalisha watu wengi wenye mawazo kama haya, kinachowazuia tu ni kukosa mchongo wa hivyo vilipuzi. Nimesikia wengi wanasema nikipata bomu nalipuka nao. Akitokea supplier wa hivi vitu hii nchi haitatawalika. Kwasababu vijana wamekata tamaa, hawaoni future kwa hiyo ni heri kufa nao kuliko kuishi nao...