Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

huu moto ungeshuka tu uwachome wanasiasa wote wanaoipeleka nchi yetu kwenye matatizo ili tubaki salama. hao wanaotudanganya kumbe wanakula pesa zetu. choma moto hadi wawe majivu.
Tatizo hiyo ndoto Haina uhusiano na Taifa wala wanasiasa wa Tanzania,hiyo ndoto inahusiana na yeye,familia na ukoo wake
 
Ndoto yako kuiunganisha na Tz mzima ikoje hilo mie naona lako komaaa pambana nalo
 
Ndoto yako kuiunganisha na Tz mzima ikoje hilo mie naona lako komaaa pambana nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…