secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Tofauti ni kuwa mi niliota mchana halafu kanisani.Najua uwezi amini it's the same to me nimeota
Ni Sir God amekupa maono kuwa hakuna la kuogopa, manyonyo lazima azikwe futi 12 kwenda chini.Tofauti ni kuwa mi niliota mchana halafu kanisani.
Oyaa! Siku hilo likitimia nitanyetuka kuashiria furaha yangu isiyo kifani.Ni Sir God amekupa maono kuwa hakuna la kuogopa, manyonyo lazima azikwe futi 12 kwenda chini.
Hahaha 😂Prophecy major one
Ulipostuka usingizini ulijikagua hukoJana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku.
Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre.
Ghafla nikaanza kuota. Nikaona watu (watanganyika) wakiandamana kwa wingi na Maandamano yale yalianza kimasihara baada ya vijana wawili kusema "twendeni tukawatoe Samuya na raisi wa mawe..."
Bila kuchelewa nilijumuika nao huku tukiimba nyimbo za kuwadhihaki wahuni na kuwatishia kuwakata makende nami ndiye nilikuwa naanzisha hizo nyimbo.
Isivyobahati nikashtuka usingizini na kujikuta niko mwenyewe kanisani, waumini wameshatawanyika muda mrefu. Kwa kweli niliona aibu sana.
Haya wajuzi waje wanieleze maana ya ndoto hii ya mchana.
Mshana Jr.
Umetisha Secretary Ndege 😁Nilipogundua hajaja kwenye Maandamano nilimfuata kwake nikamlazimisha kwenda wote.
Mi wananiogopa mkuu. Mla yas hawezi kuliwa yes.Ulipostuka usingizini ulijikagua huko
nyuma uko sawa?
Isije kuwa wakati umesinzia wana walipita na Yas!
Sasa tarehe 9 usikosekane road.Umetisha Secretary Ndege 😁