Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Ukiona manyoaya ujue kaliwa na wajanja..

Endelea na ndoto, smart ashaopoa chombo kipya JF wewe kwake ni used
@Smart911 smart smart ndoto hizi jamani mimi!! [emoji17] [emoji17]
 
God forbid aisee. I still love my smart kwakweli
Then do something. Kawaida ukiota ndoto kama hizo ni kwamba Mungu anakutumia ujumbe kuwa kuna jambo linakuja.
Kwnza lifanyike katika ulimwengu wa kiroho then litokee wa kimwili...
batilisha hiyo ndoto kwa maombi
 
Mimi huwa namuota Mme wangu tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mimi ndo case kama hio imenitokea mara mbili zote sasa inaimply nini hii ndoto?? hebu bwashee anisaidie kuniangalizia basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…