Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Maana yake ni kuwa sasa tunaenda kujisajili jf kwajina yetu halisi na picha zetu
Sijaelewa ndo Unamaanisha nini??? mbona tayari wengine tunajulikana kimajina na picha halisi??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ndoto za hivyo zinapanikisha. Kama mimi navyomuota member flani humu na sura yake ninayo sijui nimemuona wapi
Sema wewe mamy kushtuka lazima. Wengine mungu anatupenda so anatupa ishara kwa njia ya ndoto kuwa be keafoooooo [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Cc Smart911
 
Usipoenda kumuangalia mama unataka anitoe roho... wakati mbele yako tulivyoenda kumuona akaniambia ole wangu kama unakumbuka... asikie nimekuudhi kwa lolote...
You know venye sitaki kumuangusha our sweet mom eee ndo nilishangaa sana is this my smart kweli??? [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji8]
 
Hahahahaha.. Ruksa tu mkuu si lakini mimi nakua huku kwetu
Sawa We kuwa huko huko...ila Nakuota Upo Juu ya Kifua changu....na Huwa nikimuota MTU mara2 inakuja kuwa kweli...but Sijui kama nitafika Mara2...
 
Back
Top Bottom