Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]sure love my smart anajielewa sana... huyu pepo huyu atakua katumwa huyu..
Lazima ukimbie [emoji23][emoji23][emoji23]siku ya kukutana ndio yanatokea yale ya EXPECTATION vs REALITY
hivi unaanzaje kumuota mtu ambaye hujui kuwa ni me au ke ..mnene au mwembamba...mweupe au mweusi maana humu jf usikute Bujibuji ni ke samahan kaka kwa kukutolea mfano na Shunie ni me ila hatujui sababu yupo nyuma ya keyboard
hyo ni mifano tu ila buji ni kaka yetu wote tunalijua hilo
na Shunie ni mrembo haswaaaa mtoto wa mwananyamala kota huyu....kale ka avatar kako kazaman nimekamis

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha na id mpya au ndo mtu kupotea na kupita kimya kimya kunahuu
hofu yako tu mkuu..Asante sana mkuu sijui kwanini namuwaza waza sana. ila ngoja nifute mawazo
Ndoto zingine huja pale unapokua unakiwazia kitu kwa sana.. kiwe kibaya au kizuri... it's all in your mind, all in your head... ukikiweka moyoni au rohoni ndiyo pale unapojikuta unachukia mtu/watu bila sababu...
Relax enjoy, i'm all yours mahondaw wangu....
hahahah kabisaa!!Hahahahaha kweli kabisa Yani... lazima ulinde dhahabu yako ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kuna mdada huku jf anakunyima ucngiz...pole sana shem
Haha na id mpya au ndo mtu kupotea na kupita kimya kimya kunahuu