Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

hivi unaanzaje kumuota mtu ambaye hujui kuwa ni me au ke ..mnene au mwembamba...mweupe au mweusi maana humu jf usikute Bujibuji ni ke samahan kaka kwa kukutolea mfano na Shunie ni me ila hatujui sababu yupo nyuma ya keyboard

hyo ni mifano tu ila buji ni kaka yetu wote tunalijua hilo

na Shunie ni mrembo haswaaaa mtoto wa mwananyamala kota huyu....kale ka avatar kako kazaman nimekamis

khakhakhaaaaaaa... wacha nifunge domo langu mkuu ila hali ilinitokea kweli
 
Ndoto zingine huja pale unapokua unakiwazia kitu kwa sana.. kiwe kibaya au kizuri... it's all in your mind, all in your head... ukikiweka moyoni au rohoni ndiyo pale unapojikuta unachukia mtu/watu bila sababu...

Relax enjoy, i'm all yours mahondaw wangu....

khakhakhaaaaaaa nacheka kama mazuri vile love nimeacha kuwaza jamanii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kuna mdada huku jf anakunyima ucngiz...pole sana shem

Hahahahaha dohh![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haha na id mpya au ndo mtu kupotea na kupita kimya kimya kunahuu

id mpya itahusika hapo... ila sasa mkirudi jf mnashangaa mbona hii id ina wiki moja lakini content zake kama za naniliu yule ambaye sikuhizi aonekani hahahah
 
Back
Top Bottom