Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa ndo Unamaanisha nini??? mbona tayari wengine tunajulikana kimajina na picha halisi??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Maana yake ni kuwa sasa tunaenda kujisajili jf kwajina yetu halisi na picha zetu
Sema wewe mamy kushtuka lazima. Wengine mungu anatupenda so anatupa ishara kwa njia ya ndoto kuwa be keafoooooo [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndoto za hivyo zinapanikisha. Kama mimi navyomuota member flani humu na sura yake ninayo sijui nimemuona wapi
hahaha ndiyo itakuwa imekula kwakoUkizubaa wanakubebea mchana kweupeeeee..... Tena akiwa na tamaa ndo kabisaaa
You know venye sitaki kumuangusha our sweet mom eee ndo nilishangaa sana is this my smart kweli??? [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji8]Usipoenda kumuangalia mama unataka anitoe roho... wakati mbele yako tulivyoenda kumuona akaniambia ole wangu kama unakumbuka... asikie nimekuudhi kwa lolote...
pole aiseeNdo hata mi najiuliza sasa...!!
Hahaha mkuuNgoja nipande mlimani nikapambane nguvu za giza...
Sawa We kuwa huko huko...ila Nakuota Upo Juu ya Kifua changu....na Huwa nikimuota MTU mara2 inakuja kuwa kweli...but Sijui kama nitafika Mara2...Hahahahaha.. Ruksa tu mkuu si lakini mimi nakua huku kwetu