NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Hahaha
 
Mtabiri wa kwanza kabisa alikuwa Mh Lissu,,alipo sema tuna raisi wa ajabu.Akasema ndie raisi atakaye tawala muongo mmoja tu.Yametimu.
 
Kama binadamu inauma pale binadamu mwenzio anapofariki dunia.
Ingawa matendo yake mengi yaliudhi lakini kufa kunasikitisha.
Kama mimi nilipenda kumprove wrong akiwa yungali hai, ili tumlaumu akiwa antuona yeye mwenyewe.
Lakini mapenzi ya Mungu yatimizwe.
RIP JP Maghufuli.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndoto ilitokea 2017, lakini alikufa 2021, hivyo hakupigwa chini, Bali kifo na ni Baada ya uchaguzi. Hivyo alienda muhula wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…