TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Bana Paskali ndo wewe wa kule kwenye uzi wa Juma Pinto ukitokea na @Pasco?
Uzi ulipotea February 13, 2017 ukaibuliwa August 21, 2020.Huko Mugango mwibhara usirudi hapa
Mungu mwenyewe alimkataa Magufuli, halafu wewe unatudanganya eti anakubalika na wote. Sema alikubalika na familia yakoKwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.
Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Mungu alikwambia kuwa kamkataa Magufuli?Mungu mwenyewe alimkataa Magufuli, halafu wewe unatufanganya eti anakubalika na wote. Sema alikubalika na familia yako
Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.
Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Hebu tulia, dhalimu hayupo.Mkuu TangataUnyakeWasu, hiyo ndoto yako ni ndoto ya ajabu sana, ambayo inakupa hadi the reasons behind!.
Kwa kawaida ndoto huwa unaoteshwa kitu lakini bila majibu, halafu majibu yatakuja kupatikana kwenye tafsiri ya ndoto hiyo.
Nilitegemea ungesema hii ni mara ya tatu unaoteshwa kuwa rais Magufuli ni one term president.
Ndoto za aina hii nyingine huwa ni sauti ya Mungu au maono. Mungu akikuotesha jambo, hakupi majibu bali utaona tuu matokeo, sasa wewe na hii ndoto yako imekuambia Magufuli atapigwa chini na mchakato wa ndani wa CCM? . Kwani CCM huwa inamchakato wa ndani kabla ya miaka 10?. Kwa kukusaidia tuu wewe na hiyo ndoto yako ya uongo, CCM haina mchakato wa ndani wa urais kwa mwaka 2020 bali aliyepo huendelea, hakuna hata utoaji wa fomu! .
Kama ungesema Mungu amekuotesha bila kukupa sababu, hiyo ndio ingeweza kuwa ni ndoto ya kweli ya maono kama ile ndoto ya Lema.
Paskali
Ndoto Yako imetimia ila Mama Abdul,ndiye mchezaji mzuri aliyeifanikishaWana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.
Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Daah! Hizi akili au kamasi?Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Mkuu @TangataUnyakeWasu,Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu
😄😄😄 Tatizo mleta mada naye last seen yake since 2018 sijui alipatwa na nini ndugu yetu huyuNimekuvulia kofia!,upewe maua yako!
P