NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!

It was a Shadowing Conspiracy Propaganda.
It seems like you are Undercover Agent!
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!

Tuletee na Utabili wa Mama Abdul. Ndoto yako inasemaje....!!?
 
Wanaotusumbua nchini Ni watu wa pwani na unafiki wao. Mi nakwambia mtakuja kuelewa ninachoongea.

Sina maana yakuleta mgawanyiko hasha! Lakini ukombozi wakweli wa nchi yetu utatoka bara. Maana watu wa pwani kwanza Ni wavivu alafu wanajifanya kuuweza uongozi lkn kiuhalisia hawauwezi na wanafanya kila mbinu kudhoofisha juhudi za wa bara wenye Nia ya ujenzi kwa kuhofu yakuteseka kutokana na uvivu wao.

Siku watu wa bara wakina kusanuka tutarudi na mrejesho hapa.
 
Wanaotusumbua nchini Ni watu wa pwani na unafiki wao. Mi nakwambia mtakuja kuelewa ninachoongea.

Sina maana yakuleta mgawanyiko hasha! Lakini ukombozi wakweli wa nchi yetu utatoka bara. Maana watu wa pwani kwanza Ni wavivu alafu wanajifanya kuuweza uongozi lkn kiuhalisia hawauwezi na wanafanya kila mbinu kudhoofisha juhudi za wa bara wenye Nia ya ujenzi kwa kuhofu yakuteseka kutokana na uvivu wao.

Siku watu wa bara wakija kusanuka tutarudi na mrejesho hapa
 
Mkuu TangataUnyakeWasu, hiyo ndoto yako ni ndoto ya ajabu sana, ambayo inakupa hadi the reasons behind!.

Kwa kawaida ndoto huwa unaoteshwa kitu lakini bila majibu, halafu majibu yatakuja kupatikana kwenye tafsiri ya ndoto hiyo.

Nilitegemea ungesema hii ni mara ya tatu unaoteshwa kuwa rais Magufuli ni one term president.

Ndoto za aina hii nyingine huwa ni sauti ya Mungu au maono. Mungu akikuotesha jambo, hakupi majibu bali utaona tuu matokeo, sasa wewe na hii ndoto yako imekuambia Magufuli atapigwa chini na mchakato wa ndani wa CCM? . Kwani CCM huwa inamchakato wa ndani kabla ya miaka 10?. Kwa kukusaidia tuu wewe na hiyo ndoto yako ya uongo, CCM haina mchakato wa ndani wa urais kwa mwaka 2020 bali aliyepo huendelea, hakuna hata utoaji wa fomu! .

Kama ungesema Mungu amekuotesha bila kukupa sababu, hiyo ndio ingeweza kuwa ni ndoto ya kweli ya maono kama ile ndoto ya Lema.

Paskali
Hebu tulia, dhalimu hayupo.
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Ndoto Yako imetimia ila Mama Abdul,ndiye mchezaji mzuri aliyeifanikisha
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Daah! Hizi akili au kamasi?
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu
Mkuu @TangataUnyakeWasu,
nimekuvulia kofia!,upewe maua yako!。 ile siku umepandisha bandiko hili, nilikupinga na kuuita ni ndoto ya uongo!, NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...
kumbe。。。!。
kiukweli humu tuna manabii。。。 Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
P
 
Back
Top Bottom