NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Twentytwenty itakuwa GEMU kali kati ya X - drugloads, mafisad v/s sisiyemu.
Naomba mungu asikachukue haka kapumzi ili niishuhudie hii GEMU.
 
Punguzza unafiki wewe wa siku ile sio wewe wa leo
Mimi ndiye yule yule juzi, jana na leo formular yangu ni moja tuu, to say nothing but the truth. Nasema ukweli daima no matter what bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani! .

Paskali
 
acha niheshimu hisia zako, ingawa zina makando kando
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Kwa mujibu wa familia yenu
 
Utakuwa wewe ni fisadi au muuza madawa ya kulevya usiependa utawala huu wa magufuli
 
Mkuu hii ndoto yako umeiota mchana kweupeee bila hata lepe la usingizi. Hii kitu haiwezi kutokea. CCM siyo kama vyama vingine. Wao zimwi likujualo halikuli likakwisha. Ota ndoto nyingine mkuu si hii.
 
Ni kiongozi mzuri sema anatuumiza vijana n tofauti na Ma Rais wengine uwaga wanatoa support kwa vijana
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Ellyrehema , acha kuandika uongo, lifuguma alipata kura million 8 tu na Lowasa alipata million 6. Huko kukubalika kumetokea wapi ?
 
MTU huota yaliyojaa moyo wake!!!! Moyo wako umejaa chuki halafu unakuja na ndoto zako hapa?? Kwenda huko ukamfuate Lemma
 
Yeye sio malaika..!!! Nadhani ulitaka kumalizia kwmb "Yeye ni Shetani" ila umejicheki kwny akaunti ukaona mil 7 haifiki. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Nafikri nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Nimegundua huku mitaani watu wa kawaida wanamkubali sana JPM, na kule maofisini, wale wa kada ya chini wana mkubali sana, ila lile daraja la juu ndio wanaotoa malalamiko.
 
....analijua hili la miaka 5 tu...ndio maana anapeleka hela zetu nyingi za kodi kujenga kwao chato bila justification yoyote...wakati wanaozunguka chato wanaelea kwenye dimbwi la umaskini....anajua kfika kuwa miaka 5 hii inaweza kuwa ndio lala salama ya utawala wake huu wa mabavu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…