NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Ndege zina muda wa masaa ya kuruka yakifika hata kama ni nzima lazima itolewe kwenye services. Sasa ni ndege gani ya atc iliyokuwa ikifanya safari hapa nchini ama nje ya nchi
Duniani kote matibabu ya bure hayapo. Yalikuwa hapa nchini tu. Kata bima mzee acha kupenda vya bure kama mwanamke
 
Duniani kote matibabu ya bure hayapo. Yalikuwa hapa nchini tu. Kata bima mzee acha kupenda vya bure kama mwanamke
Unasema hospitali ilikuwa bure. Hivi hujui hata hizo ndege watu walikuwa wanasafiri bure?
 
Kwani anayewakamata lema na tundu ni raisi?. Sasa naanza kujua uwezo wenu wa kuchanganua amambo ukoje
Niyeye nan ni yeye anayeamuru wasitolewe na niye kamweka gambo pale ar avuruge wapinzani na niyeye aayemtuma makonda
Viwanda ataanza lini
Elimu ni aibu dar imeshika mkia... Bado una imani naye hivi ashaanza kutimiza ahadi zake?anatakuwa ajiuzulu
 
Jidanganye,Magufuli ndo mwenyekiti wa chama.Magufuli ni raisi mpaka 2025,mlozoea kuishi kwa madeal imekula kwenu.Fuateni mfano wa Tabibu Mwaka aliehamishia makazi South Africa,maana Tanzania for now,utapeli na upiga deal hauna nafasi
 
Ndege zina muda wa masaa ya kuruka yakifika hata kama ni nzima lazima itolewe kwenye services. Sasa ni ndege gani ya atc iliyokuwa ikifanya safari hapa nchini ama nje ya nchi
Ulisema hutukuwahi kuwa na ndege kwa hiyo baada ya miaka kadhaa na raisi wa miaka hiyo akinunua ndege s
 
Niyeye nan ni yeye anayeamuru wasitolewe na niye kamweka gambo pale ar avuruge wapinzani na niyeye aayemtuma makonda
Viwanda ataanza lini
Elimu ni aibu dar imeshika mkia... Bado una imani naye hivi ashaanza kutimiza ahadi zake?anatakuwa ajiuzulu
Sasa anayefundisha darasani ni rais ama walimu. Yaan watu mnabisha bila logic. Wanafunzi wakifeli mnalaumu rais. Dont you see yourself a problem???
 
Magufuli ataendelea kuwa rais kwa miaka 10. Tena binafsi natamani hata awe rais kwa miaka 20 au zaidi maana Tanzania tulihitaji rais kwa ma huyu tokea miaka mingi ilopita. Kwa nyie wazembe msiotaka kula kwa jasho ndo mnamchukia. Ila sisi ambao tulitamani atawle hata kabla hajachukua form ya kugombea ndo tunampenda na tunamwombea asubuhi na usiku.
Hakupita 2015 2020 hayutaki cha pushap wala nini hatumpi kura
 
hata kesho akiamua ajiuzuru itakuwa poa
Ndoto itimieee ya lemer

Kutoka jela [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Good sana mkuu. Chadema imeondoka na Dr Slaa...!!!!
Hata nami huwa naumia sana watu wanavyomdhihaki Magufuli...!!!!
 
Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?

Ooo kibibi upo?. Lengo lako kama kawaida ni kumlenga Marehemu Raisi Nyerere. Chuki yako kwa huyo mzee ambae leo hii hayupo duniani inashangaza sana. Kwanza kibibi wewe nikueleze kwamba majaribio ya mapinduzi si kiegezo cha kipimo kwa utawala bora wa nchi. Hiyo hutokana na na hali ya kisiasa ya kiujumla duniani ilivyo. Kipind cha uongozi wa hayati Nyerere, kilikuwa kipindi cha vita kali vya baridi kati ya mataifa ya mrengo wa kushoto na wakulia. Mataifa makubwa ya yalisababisha kuangushwa kwa serekali mbali mbali hasa Africa na majaribio kabao ya kupindua serekali, na hata kufanikisha kuuwawa kwa baadhi ya viongozi wa nchi za Africa. Kipindi cha Nyerere kama sikosei yalifanyika majaribio mawili, lakini watuhumiwa walifikishwa mahakamani kama sheria na katiba inavyohitaji, na sheria ikachukua mkondo wake. Sikumbuki kusikia kama kuna adhabu ya kifo ilitekelezwa kwa waliokutwa na hatia. Tofauti kabisa na yanayo onekana siku hizi, watu kung'olewa meno, kuteswa, ama kupotezwa bila ya maelezo pale wanapotuhumiwa kwenda kinyume na utawala ama kutoa mawazo yanayo pishana na utawala.
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Kafanya yapi mazuri?iv unajua nafasi za u DC zmeisha..?
 
Back
Top Bottom