Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,556
- 7,398
Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa".
Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa Zanzibar, ukarudishwa Dodoma, ukapelekwa Mwanza kisha mwili wake ukapelekwa Chato kupitia Geita.
Hii imenipa hisia kwamba huenda SIMBA SC ikashinda kombe Zanzibar ili kutimiza ndoto za JPM kisha watarudi na Kombe Dar, walipitishe Dodoma Bungeni kisha waelekee Mwanza hatimaye waende CHATO kutoa heshima kwa JPM.
Hizi hisia nimezipata baada ya vuta ni kuvute ya sakata la mechi ipigwe kwa Mkapa, CAF wanasema ipigwe AMAN ZANZIBAR.
Nimejaribu kuwaza.