Ndoto ya kila couple ni kuwa na mapenzi yenye utani kama hawa ila ndio hivyo mnapata watu serious!

Ndoto ya kila couple ni kuwa na mapenzi yenye utani kama hawa ila ndio hivyo mnapata watu serious!

Sijui kugugo niambie wewe uliyewajua mpaka majina, wakati mimi nimeona ni wazungu tu
 
Ila ndo hivyo mnapata watu walio serious kama vile nyie tuu ndio mnajenga nchi


View attachment 2922956
Hayo ni maigizo mkuu, shida yetu wabongo hasa wadada huchanganya maigizo na maisha halisi. Kuna mambo unaweza yaona mtandaoni yanapendeza macho sana ila sio uhalisia wa maisha, ni scrip tu mkuu. Hapo nduo wadada wengi hupotea kutaka kupata watu wa kwenye maigizo
 
Back
Top Bottom