Kwanza unaanzaje kucheza na huna uhakika wa kula,chumba kimoja kama stoo unarumsha mwenzio anaangukia sufuria la mchuzi unamwagika mnalala njaaππMuulize acc ya huyo jamaa ina shingap.
Kama ingekuo ina 4700Tsh wasingecheza hivo
sufuria ya mchuzii!Kwanza unaanzaje kucheza na huna uhakika wa kula,chumba kimoja kama stoo unarumsha mwenzio anaangukia sufuria la mchuzi unamwagika mnalala njaaππ
ndio tunashauriwa kuwaiga!ni content creator hao nadhan
hapanandio tunashauriwa kuwaiga!
Au chini ya kitanda umeweka vifaa vyako vya ujenzi unamuangusha mwenzako mara shingo inatoa mlio paaaaaaah.!Kwanza unaanzaje kucheza na huna uhakika wa kula,chumba kimoja kama stoo unarumsha mwenzio anaangukia sufuria la mchuzi unamwagika mnalala njaaππ
dah nimeshamjuaJinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na tuwapendao na mauzauza mengi sana. Nakumbuka mzee mmoja alinambia mapambano ya kupata maisha mazuri...www.jamiiforums.com
Kwa hichi kitanda changu tukirushana hivo lazima tuhamie kulala vitanda vya hospitalKwanza unaanzaje kucheza na huna uhakika wa kula,chumba kimoja kama stoo unarumsha mwenzio anaangukia sufuria la mchuzi unamwagika mnalala njaaππ
Huo ndio utani au?
Hakuna namna nije nimbamize mtoto wa watu na mbao bureNa Sindano za tetenasi juu
Kiboko au Nyangumi ?View attachment 2923047angejaribu hapa kama anawezq
Sure love I like that. Utoto Na ka utani kidogo! Thanks Hujawahi kuwa kauzu kwangu π!