Ndoto ya kila couple ni kuwa na mapenzi yenye utani kama hawa ila ndio hivyo mnapata watu serious!

Kwan unashindwa nini wewe na mtu wako kufanyiana hayo mambo?
 
Kwanza unaanzaje kucheza na huna uhakika wa kula,chumba kimoja kama stoo unarumsha mwenzio anaangukia sufuria la mchuzi unamwagika mnalala njaa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…