Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka baada ya kukutana na Rafiki yake hakuweza tena kuruka.hiyo ndoto ni nzuri sana inaonesha una windwa na maadui lakini hawawezi kukupata.
Na usije ukajaribu kumwambia hata mganga maana una ulinzi wa asili sana.
[emoji849]Mshukuru sana huyo rafiki yako maana wewe ulikuwa ndio unaenda kimoja hivyo. Baada ya 40 watu wangeanza kugawana mali zako[emoji16][emoji16]
Hizo ndoto mm nilikuwa naota zamani sana nikiwa mdogo na nilikuwa na bahati sana ya kuokota pesaHahahaha hii ndoto ni ya kipumbavu sana, halafu usikute sisi binadamu kuna ndoto fulani fulani za kipumbavu huwaga tunaota wote sema hatupati muda wa kujadili kwa pamoja tu.
Kwa mfano mbali na hiyo, mimi kuna moja naotaga mara kwa mara kuwa nikiwa natembea zile sehemu zenye michanga michanga barabarani nikienda kutifua tifua nakuta sarafu nyingi sana za pesa yani ni mwendo wa kuziokota kiubwelelele kabisa yani kila unapogusa masarafu tu basi akili inakuwa imeridhika unakuwa kwenye extreme level ya comfort zone ila kimbembe ukiamka sasa [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hii kitu inanikutaga hata mimi aisee[emoji28]Hahahaha hii ndoto ni ya kipumbavu sana, halafu usikute sisi binadamu kuna ndoto fulani fulani za kipumbavu huwaga tunaota wote sema hatupati muda wa kujadili kwa pamoja tu.