Marconho
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 287
- 445
Awali ya yote napenda kutoa shukrani za dhati kwa members wa jf hususani katika jukwaa hili.
Mimi ni miongoni mwa waajiriwa katika sekta fulani hapa Tz, pamoja na kufanya kazi hii, bila shaka kabisa nadiriki kusema nina ndoto za kuwa mjasiriamali, tatizo sijui ABCs yoyote kuhusu biashara maana sijawahi kufanya biashara ya aina yoyote ile. Ningependa kupata ushauri wa kitalaam au kwa watu walio na uzoefu wa biashara nianzie wapi, na pia nianze km aina gani ya mjasiriamali aidha km sole trader, partnership au kuweza kufungua kampuni. Na pia ni mbinu gani naweza kutumia kujua fursa nzuri ya biashara kutokana na mazingira niliyopo. Naomba ushauri na mawazo yenu.