Ndoto ya kuwa Pilot jamani

Ndoto ya kuwa Pilot jamani

Habari zenu wakuu. Mwenzenu apa nna ndoto za kuwa airline Pilot japo tanzania hatujawa na kampuni zenye kumiliki boeing na airbus (itoe fastjet mana si yetu). Tatizo kipato kinanizuia maana cost za kusomea zinafika ama kupita milioni 100. Sasa nlikuwa na wazo la kupitia jeshini ili nipate mafunzo ya urubani. Naombeni munipe taratibu inakuaje mpaka unakuwa admitted katika kikosi cha anga. Mikiki ya jeshini itanitesa kwani na ka pumu kananisumbuaga kwenye kazi nzito. (Pumu haimzuii mtu kuwa pilot)


Tatizo la vijana wetu ni kuishi Kwa ndoto zisizo tekelezeka.Pia matumizi ya jani la mmea korofi linawaharibu utakuja gundua uzeeni kua maisha uloyaota wenzio wanayaishi.
 
Tatizo la vijana wetu ni kuishi Kwa ndoto zisizo tekelezeka.Pia matumizi ya jani la mmea korofi linawaharibu utakuja gundua uzeeni kua maisha uloyaota wenzio wanayaishi.

Mkuu kama wao wameweza kwanini mie nsiweze? Naomba bora ufute cheo chako cha kujiita "Dr." Mkuu, hakielekei kabisa na majibu yako. Penye nia pana njia
 
"Wake up and chase your dreams.." Ambao ndoto zao ziliyayuka walilala nakuvuta shuka asubuhi!..
 
Back
Top Bottom