Infiltrator
Senior Member
- May 13, 2017
- 126
- 227
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni mwanafunzi wa Diploma ya Uandishi wa habari mwaka wa pili. Nina ndoto ya kuwa Mshehereshaji wa matukio makubwa ya kiserikali hususani Yale ya mh Rais.
Naomba ushauri, je napaswa kufanya Nini ili niweze kutimiza ndoto yangu hiyo huku nikiendelea kusoma zaidi?. Je ni fani gani ya ziada ninayopaswa kujifunza ili kuongeza unene wa wasifu kazi wangu?.
Karibuni