mmmh !! wee mbona hujalala.... mwache mwenzio aote !!Ndoto tu mkuu embu fumba macho ulale .... Usisahau kusali eeh huyo Valentine sio vizuri anavokufanyia
Khaa mkuu wanaotaga huku macho kodo.... Hahaha Embu afumbe macho amuote vizuri ila isijekua Valentine akawa ni maimuna.mmmh !! wee mbona hujalala.... mwache mwenzio aote !!
Gamboshi badala ya Valentine utapewa na ashura maimuna hawa zainabu shamimu aisha na wengine sasa sijui utawaotaje Wote hao kwa mkupuo....mkuu ndoto gani inajirudia hata kama nasinzia ofisini? Kesha niendea Gamboshi huyu
Umenicheeekesha !! haaaahhaKhaa mkuu wanaotaga huku macho kodo.... Hahaha Embu afumbe macho amuote vizuri ila isijekua Valentine akawa ni maimuna.
Poleee hahaha...Umenicheeekesha !! haaaahha
acha na mie nitafute wa kuota..ota !!Poleee hahaha...