Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,609
Mimi sitaki ota Mtu.... Natamani nimuote Yesu wangu akininyakua ... ( natamani kunyakuliwa siku Ikifika)[emoji12] [emoji12]acha na mie nitafute wa kuota..ota !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sitaki ota Mtu.... Natamani nimuote Yesu wangu akininyakua ... ( natamani kunyakuliwa siku Ikifika)[emoji12] [emoji12]acha na mie nitafute wa kuota..ota !!
oooh! basi sorry isiwe shidaUmeniita ili iweje?
peterchoka ndio anammendea @lala1Weeee.... Lara 1 ni mdada bado mbichi kama embe la msimu ... Usimfanyie hivyo mwenzio
ili ujue tunavyokusaidia kukutunzia Mkeo
Una utani na peterchoka?peterchoka ndio anammendea @lala1
Lala waaaaat? [emoji1] ""peterchoka ndio anammendea @lala1
sijawahi kumtania lakini huo ndio ukweli
aliyekuita ndiye aliyeniambia umewekeza kwa valentine
Uwii hapo siji... Yaani hakuna mnyama sijui samaki nisompenda kama pweza weiii ... Asantekaribu supu ya pweza hapa feri mkuu