Ndoto ya mapenzi mazito kati yangu na Valentine inaninyima usingizi

Huyo Valentina ameshakuja kupokea maombi ya kijana?
 
Valentina itakua ni jini mkatakamba,haiwezekani aotwe na jamaa af mwisho wa siku aondoke af yeye anakuja kusema kauona uzi baada ya jamaa kufariki...kaa mbali namimi bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…