Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

Unadhani kama usuluhishi ungekua unafanikiwa mara zote ungekua unaona vita
Ilitakiwa ujiulize kama sehemu za usuluhishi zipo kwanini watu wanakua na majeshi
Huyo ni mbishi mpya,utapata taabu sana.maana inaonesha mijadala ya mwanzo hakuwepo,alikua anajiandaa na mitihani ya Fomu foo.
 
Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!

Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!

Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani na Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!
Nzi aliyekuwa anasubiriwa kuingia kwenye ulimbo,anasogea karibu kuingia
mwenye urimbo ameamua kukaa karibu na mtego wake ili akiingia tuu amnase,
hayo mambo ya kukaa mbali na urimbo ilikuwa kupitisha muda wakati akisubiriwa mlengwa.
 
Ukiona windwa kwa wameanza kusema hadharani kuhusu kushindwa kwa ukraine (si kushindwa kwa NATO) ujue maji yamezidi unga!! Kinachotafuitwa ni namna ya kujitoa huku mbuzi wa kafara akitafutwa!!
Majuzi Kuna dogo kadakwa pale Poland et anatafta mbinu za kumuua Zelensky.....kimoyo moyo nikasema huyu comedian siku zake zinahesabika
 
Back
Top Bottom