Ndoto ya mke wangu imepunguza upendo na amani kwenye nyumba yetu

Ndoto ya mke wangu imepunguza upendo na amani kwenye nyumba yetu

Michango miiingi ya Msingi imechangiwa humu ndani.... Naomba tu Nikupe pole saana kwa Mkasa ulopata; na hopefully Mkeo arudi hali ya kawaida. Best of Luck Hump.
 
Wee mzizimkavu, umeanza lini kutafsiri ndoto?
Wewe umejiita jina la (RAM) Je unalijuwa maana yake hilo jina lako? Maana yake ni hii ( Random access memory (RAM)RAM



Kadi ra RAM​

RAM ni kifupi cha Kiingereza "Random Access Memory" au
kumbukumbu isiyo na mpangilio maalumu. Ni aina ya kumbukumbu kwenye kompyuta.
Hapa programu za kompyuta zina nafasi za kupakua data za kazi zao kwa muda. Programu za kisasa zahitaji nafasi kubwa ya

kuhifadhi makadirio kwa muda fulani zikiendelea kukamilisha shughuli. Kadi za RAM zatoa nafasi kupakua data mahali popote bila kujali mpangilio kwanza. Hii huharakisha kazi ya programu.

Sehemu ya RAM inaweza kuwa sehemu kwenye bao kuu lakini kwa kawaida hupatikana kwa kadi ndogo zinazowekwa kwenye bao kuu. Mara nyingi mashine za kompyuta huwa na nafasi ya kuongeza RAM au kubadilisha kadi zake kwa kadi yenye

nafasi ya kumbukumbu kubwa zaidi. Kumbukumbu kubwa huwezesha komyuta kutekeleza shughuli zake haraka zaidi.
Kila safari mashine yazimikwa kumbukumbu yote ya RAM yapotea.
RAM isichanganywe na ROM ambayo ni aina tofauti ya kumbukumbu isiyopotea.

Mimi unaniuliza Mambo madogo tu ya kutabiri Ndoto? njoo huku kwenye Jukwa la J.F. Doctor bonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/183379-maradhi-yanayomsibu-binaadamu-na-tiba-yake.html Nakusubiri utanikuta huku sio mambo ya kutabiri ndoto mambo ya kitoto tu.
 
Back
Top Bottom