Ndoto ya radi!!

Ndoto ya radi!!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
habari ya asubuhi wadau!

usiku wa leo ni mara kama ya saba hivi (sio mfululizo lakini) inanitokea ndoto hii ya kuota kuwa kuna radi kali zinapiga!

ninakuwa kama niko nusu macho na nusu nimelala, radi kali inapiga pale nilipo ikifuatiwa na ngurumo kubwa sana. leo niliota niko na mwenzangu. nakumbuka nilimuuliza, "hivi huu umeme si umepiga hapa hapa tulipo?", akajibu "ndiyo!". tukawa kama tunataka kujadiliana kitu na ghafla radi ikapiga tena......nikarudi katika fahamu zangu zote. niliiinuka kabisa na kuchungulia dirishani kuona kama kuna mvua huko nje sababu kiukweli haya mambo yanatokea wakati sehemu flani ya fahamu zangu ziko sawa kabisa kabisa. nilishangaa kuona kuwa hakuna dalili yoyote ya mvua wala radi!!

nilikuwa nachukulia kawaida tu hapo mwanzo, sasa kuendelea kwa hili nimeona ngoja niilete hii hoja humu pengine naweza kushauriwa kitu kutoka kwa wadau wenye ujuzi mbalimbali humu. kwa mbaali kuna kahofu na kamshangao kameanza kuniganda. sina kawaida ya kuzifuatilia ndoto kwa sana laini hii nimelazimika kuja kwenu.

naomba kuwasilisha!
 
Sio mtaalam ila nafikiri kuna mambo unafanya unakosea sana, hivyo unapewa onyo. Unashindana na Mungu. Nimetoa tafsiri kutoka kwenye mstari huu... (Waamuzi 1:16)

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana kwa mchango, nitajitafakari. kama binadamu nakiri kuna vijimambo kadhaa ninamess-up ingawa si kwa kiwango cha kutisha nikilinganisha na wengine wengi.
 
Wana waisarael walipomwambia Musa wamechoka na maneno yake ya Mungu amesema hivi au vile, sasa wanaomba Mungu angongee nao moja kwa moja. Siku ya maongezi zilishuka radi kali balaa kila mtu akatafuta kwa kujificha na baada ya hapo walimwambia Musa mambo ya kuongea na Mungu wanamwachia yeye, ila aje awaambie tu Mungu kasema nini. Usije ukawa unajiandaa kuwa mtumishi utukanyagishe mafuta
 
habari ya asubuhi wadau!

usiku wa leo ni mara kama ya saba hivi (sio mfululizo lakini) inanitokea ndoto hii ya kuota kuwa kuna radi kali zinapiga!

ninakuwa kama niko nusu macho na nusu nimelala, radi kali inapiga pale nilipo ikifuatiwa na ngurumo kubwa sana. leo niliota niko na mwenzangu. nakumbuka nilimuuliza, "hivi huu umeme si umepiga hapa hapa tulipo?", akajibu "ndiyo!". tukawa kama tunataka kujadiliana kitu na ghafla radi ikapiga tena......nikarudi katika fahamu zangu zote. niliiinuka kabisa na kuchungulia dirishani kuona kama kuna mvua huko nje sababu kiukweli haya mambo yanatokea wakati sehemu flani ya fahamu zangu ziko sawa kabisa kabisa. nilishangaa kuona kuwa hakuna dalili yoyote ya mvua wala radi!!

nilikuwa nachukulia kawaida tu hapo mwanzo, sasa kuendelea kwa hili nimeona ngoja niilete hii hoja humu pengine naweza kushauriwa kitu kutoka kwa wadau wenye ujuzi mbalimbali humu. kwa mbaali kuna kahofu na kamshangao kameanza kuniganda. sina kawaida ya kuzifuatilia ndoto kwa sana laini hii nimelazimika kuja kwenu.

naomba kuwasilisha!
Kiongoz usiwaze we kula Bata tu......usiwaze kabisa hayo ni matokeo ya shibe
 
ndoto ya radi

Ndoto ya kuwa nimerudi darasani najiandaa na mtihani sisomi lkn wenzangu wako busy kujiandaa na mtihan

Ndoto ya ya kuvuka mto uliojaa maji Kama matokeo ya mvua kunyesha

Ndoto ya kuwa tunasafari hasa maeneo ya milimani huku kwa chini kwa mbaali kukiwa na ziwa lenye mawimbi makali

HIZO NDOTO NI COMMON SANA TOKA NIKO MDOGO

Kizibo
 
Huyo atakuwa ameona radi ya jana saa 3:17 usiku. Ilitisha sana😒
 
Wana waisarael walipomwambia Musa wamechoka na maneno yake ya Mungu amesema hivi au vile, sasa wanaomba Mungu angongee nao moja kwa moja. Siku ya maongezi zilishuka radi kali balaa kila mtu akatafuta kwa kujificha na baada ya hapo walimwambia Musa mambo ya kuongea na Mungu wanamwachia yeye, ila aje awaambie tu Mungu kasema nini. Usije ukawa unajiandaa kuwa mtumishi utukanyagishe mafuta
mh, sidhani
 
Hivi maskini nae huota? Umaskini au?
Matajiri sisi bana tuna siri ya kuto kulala. Tunaota umaskini kila siku roho zetu inasononeka. Mnooo!!!!

Hawatakagi kulala hawa watu kulala kwake ni mateso. Makubwa sana bora akeshe macho akule mirungi basi...

Km ni Rais akilala anaota amepinduliwa mbaya na watesi wake.
wanamkashfu tena yuko gerezani hivo bora asilale kabisaa!!!!
Marais na matajiri ndo maana wanachukia usingizi.

Wakilala ni mbele za watu penye kelele kelele km ofisini tena dkika tano tu! Wanaogoppa mindoto ya ufukara inatisha wewe!

Maskini wanapenda lala sababu kwao ni starehe! Msiwacheke
Niliwahi toa uzi huu
 
Duuuh..
 
yeah, tunaota pia kama hivyo!
 
yeah, tunaota pia kama hivyo!
maskini anapenda usingizi.sababu huko yeye anaota ni tajiri wa meli ana milki visiwa. Wafanyakazi wake anawalipa dolali.

Ana nyenyekewa. na. jiwe mawaziri. Kwa hiyo kwake kulala ni starehe! Mujarabu!!!

Ila tajiri maweee. mmm!! Mara aote anaumwa viroboto, usingizini, amekonda anatokwa funza
Mara anaota anaibwa mzima mzima!!!
Mara aote ni ombaomba! Yaani majalala. Aote
Yuko katikati ya simba. sasa
Atapenda usingizi mtu km huyu?

Linalompasa ni kuwa macho tu masaa yote. na km mtu uko macho tuuu ufanye nini? kuzisaka tu. Au usome vitabu. Uandike tu! Au

ukaroge walio lala yaani uwe mwanga je dawa za kuwanga unazo?
Unaweza?
Je unakipaji nacho?
Ukikosa sifa hizo unachukuliwa msukule! Huko huko kwenye ulimwengu wa uchawi.

Tusio na sifa hizi zauchawi sisi tunatafuta kinga na pesa tu!! Ndo maana tunatajirika. Na ndivo tuivoumbwa. Msituonee. gere jamani. Hatujaumbwa kulala ..na msituige sababu hamtaweza...
 
haya bwana!
 
Back
Top Bottom