Ndoto yangu inaniambia tar 21.9.26 kuna Jambo gumu na zito sana litatokea nchi ya X

Ndoto yangu inaniambia tar 21.9.26 kuna Jambo gumu na zito sana litatokea nchi ya X

Mwenyezi Mungu Amekasirika sana ndoto niliyooteshwa siyo ya kawaida ni ndoto ngumu na nzito inayoenda kukitikisa nchi X damu isiyo na hatia bado inadai haki, kwa hiyo ni muda wa kukesha na kuomba hili lisitokee katika nchi X
Kukesha na kuomba ni wajibu wa kila siku sio mpaka ndoto ikutishe.
 
Mwenyezi Mungu Amekasirika sana ndoto niliyooteshwa siyo ya kawaida ni ndoto ngumu na nzito inayoenda kukitikisa nchi X damu isiyo na hatia bado inadai haki, kwa hiyo ni muda wa kukesha na kuomba hili lisitokee katika nchi X
Ubugie maharage na ugali mgumu uote ndoto zako za kipuuzi eti kitu cha ajabu kitatokea nchi hii. We bwege ni nani nchi hii
 
Sasa wewe kabla ya kulala umekula miguu ya bloila na ugali wenye hamila ulitegemea kuota mambo madogo?
 
Ukilala na chuki utaota ndoto za mbaya mbaya zenye uwelekeo wa chuki zako

Kile kinachokusumbua ndicho utakiota wewe utakuwa unasumbuliwa na chuki sana

Ushauri ndugu tafuta ela chuki zitupe mbali uko Sababu kama kuna kiongozi umpendi uyo kiongoz baada ya miaka 4 mbele yumkin akaondoka Madarakani
Lkn furaha yako itatatizwa na Umasikini wako
Tumia nafasi hii kujijenga kiuchumi ili uje kuibuka mshindi mbele ya Safari

Kuliko kuendekeza chuki na ndoto zisizo kukunufaisha ✍️
Ndoto inawezaje kumnufaisha mtu? Na swala la hela nani kakwambia kuwa hana hela? Siyo watu wote ni kapuku wakutafuta pesa kila siku. Wewe wa buku7 ndiyo unatafuta humu kila siku
 
Back
Top Bottom