Ndoto yangu: Watanzania niwauzie sato anayeishi

Ndoto yangu: Watanzania niwauzie sato anayeishi

Ni kweli mkuu. Wazungu wametukamatia kweli. Siku hizi mbolea za kemikali hadi kwenye miche ya matunda na yanapuliziwa dawa pia ya kuua wadudu. Lakini huwezi kulinganisha na samaki wa kufugwa. Hawana test hata kidogo ya samaki,ni kama madudu. Ziwa nyasa limegawanyika,kuna upande wa malawi na Tz. Upande wa malawi wanafuga samaki ziwani. Yaani wanatenga eneo humo ziwani ambalo wavuvi hawatakiwi kulifikia kuvua. Hapo wanakuwa wanapeleka chakula mara kwa mara humo ziwani. Inafika kipindi serikali inawavua hao samaki mahala hapo,wanawauzia watu wa kuwatembeza mitaani. Wanawaleta mpaka upande wa Tz,lakini hawapati wateja kabisa,wananunua wapita njia wasio wenyeji. Lakini ukimuona huyo samaki kanona kichizi, lakini ndani kumla madudu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nilikuwepo huko mwezi wa 11mwaka jana nimejionea uhalisia mkuu...ila wale dagaa ni bonge la dili mzee.

Sent using mazonge yamezidi
 
Haha nilikuwepo huko mwezi wa 11mwaka jana nimejionea uhalisia mkuu...ila wale dagaa ni bonge la dili mzee.

Sent using mazonge yamezidi
Karibu sana mkuu. Dagaa hawana shida ksbb wote wanatoka upande wa Tz. Hata samaki wenye wanaliwa kwa wingi ni hawa wanaovuliwa upande wa Tz hao wako vizuri sana. Na ziwa nyasa lina samaki watamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom