Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Utalia lia sana lkn habari ndiyo hiyooooo
 
Hakuna vigezo alikuwa anavuta mda
1.Em thibitisha alikua anavuta mda unless hiz umeandika ni blablaa hazina mashiko.

2.Kama alikua anavuta mda bas tafsir ni kwamba chato haikua na vigezo and alisubir iwe na vigezo ndo ipewe hadhi ya mkoa, swali why avute mda?
 
Kwishaaaa kwishaaaaa kwishaaaa
 
Kwishaaaa habari za chato
Haibadilishi chochote zaidi ya allocation ya resources kubadilika tu. Wakiiba kina JK na genge lake wao ni sahihi au sio maana mnanufaika na uhuni wao au sio.
 
Mimi na watanzania wenzangu zaidi ya 50 million
Unawasemea tu ila wao huenda hawana habari, anyway kuna kongamano lenu ameliandaa meya wa jiji tarehe 14 hapo Ukumbi wa Karimjee, mkatambulike rasmi sasa. Zuchu na wasanii wengine watakuwepo usikose bro!!!
 
Baada ya kusikia kuwa sukuma gang wanataka mkoa wahaya wakasanuka
Kwani Chato ni usukumani ? Hiyo kwa asili ni usubi ila kwa sababu wasukuma ni wengi wameshateka maeneo yote ya wila ya Chato, Biharamulo na sasa Muleba inatikiswa kila siku ili nayo iwe sukumaland.
 
Kwani Chato ni usukumani ? Hiyo kwa asili ni usubi ila kwa sababu wasukuma ni wengi wameshateka maeneo yote ya wila ya Chato, Biharamulo na sasa Muleba inatikiswa kila siku ili nayo iwe sukumaland.
Vyovyote vile iwavyo tunachofurahia ni chato kukosa heshima ya kuwa mkoa
 
Hakuna vigezo alikuwa anavuta mda
Bora kahama ndo iwe mkoa maana ina watu milion 1 na lak2,ina halmashauli tatu inashughuli nyingi za kiuchumi,eneo ni kubwa kuliko kilimanjaro na dsm.lakin ina nafas ya kuongeza eneo kutoka tabora,wilaya za ulyankylu kaliua,uyui kidogo,na nzega,hata mbogwe nikarib zaid kuja kahama chin ya km 50,kuliko kwenda geita zaid ya km 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…