nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Kwani Magufuri alilazimisha ? Hao wa Biharamulo wanaogomea Chato kuwa mkoa ndio hiyo Biharamulo iliyozaa Chato. Ni wivu tu unawasumbua.Ila kiongozi aliyekuwa madarakani hakulazimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Magufuri alilazimisha ? Hao wa Biharamulo wanaogomea Chato kuwa mkoa ndio hiyo Biharamulo iliyozaa Chato. Ni wivu tu unawasumbua.Ila kiongozi aliyekuwa madarakani hakulazimisha
Baada ya kusikia kuwa sukuma gang wanataka mkoa wahaya wakasanukaKwani Magufuri alilazimisha ? Hao wa Biharamulo wanaogomea Chato kuwa mkoa ndio hiyo Biharamulo iliyozaa Chato. Ni wivu tu unawasumbua.
Aliekwambia chato ni ya wasukuma nan?.Humu JF kuna watu mnaongea vitu utadhan vichwa hamna. Kwa faida tu kanda ya ziwa sio ya wasukuma tu, kuna wakurya,wahaya na zaid ya makabila 20+ madogo madogo.Baada ya kusikia kuwa sukuma gang wanataka mkoa wahaya wakasanuka
Kwenye huu uzi tunaongelea sukuma gang ( team ).Aliekwambia chato ni ya wasukuma nan?.Humu JF kuna watu mnaongea vitu utadhan vichwa hamna. Kwa faida tu kanda ya ziwa sio ya wasukuma tu, kuna wakurya,wahaya na zaid ya makabila 20+ madogo madogo.
Maguful hakushindwa kuforce chato iwe mkoa kipind kile, anamamlaka alikuanayo why hakuufany kuwa mkoa.Mbona simiyu ni mkoa toka kipindi cha JK yet mpaka leo 2023 simiyu still bado hakufai kuwa mkoa kwa izo hoja zenu.
Hatukatazwi kukosoa ila ukosoaji uliojaa chuki ni ukosaji weledi. Mtu anasema burigi national park ni kosa kuwa pale, serious [emoji15].Airport ya chato sio international ni normal, mtu na hili anakataa eti why chato kuwe na airport [emoji23][emoji23].
Mwingine anazungumzia hospital ya kanda why iko pale, kweli [emoji848]
Airport,Hospital hata yale mataa ya barabarani hayakustahili kuwepo pale maana chato haikukidhi vigezo.Aliekwambia chato ni ya wasukuma nan?.Humu JF kuna watu mnaongea vitu utadhan vichwa hamna. Kwa faida tu kanda ya ziwa sio ya wasukuma tu, kuna wakurya,wahaya na zaid ya makabila 20+ madogo madogo.
Maguful hakushindwa kuforce chato iwe mkoa kipind kile, anamamlaka alikuanayo why hakuufany kuwa mkoa.Mbona simiyu ni mkoa toka kipindi cha JK yet mpaka leo 2023 simiyu still bado hakufai kuwa mkoa kwa izo hoja zenu.
Hatukatazwi kukosoa ila ukosoaji uliojaa chuki ni ukosaji weledi. Mtu anasema burigi national park ni kosa kuwa pale, serious [emoji15].Airport ya chato sio international ni normal, mtu na hili anakataa eti why chato kuwe na airport [emoji23][emoji23].
Mwingine anazungumzia hospital ya kanda why iko pale, kweli [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sukuma gang kweny uzi wa NDOTO YA CHATO KUWA MKOA IMEYEYUKAKwenye huu uzi tunaongelea sukuma gang ( team ).
Wacha kujiondoa akili yako.
Chato haikukiz vigezo kuwa na hospital?Airport,Hospital hata yale mataa ya barabarani hayakustahili kuwepo pale maana chato haikukidhi vigezo.
Tatizo hutumii akili zako angalau kwa 10%.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sukuma gang kweny uzi wa NDOTO YA CHATO KUWA MKOA IMEYEYUKA
Hiv mnatumia vichwa gan?[emoji23][emoji23][emoji23]
How SUKUMA GANG kweny Chato kushindwa kuwa mkoa?
Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato 😂😂.
Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa 👇
Chato ni kijiji tu na mtabakia hivyo hivyo dadeeekiii na mtalia sanaChato haikukiz vigezo kuwa na hospital?
Vigezo vya sehem kuwa na mataa barabaran ni vipi?
Vigezo vya sehem kuwa na airport ni vipi?
Watanzania tunachofurahia ni kuwa chato kamwe haiwezi kuwa mkoaWe sema CCM wamekataa msisingizie wananchi kana kwamba mnawapaga nafasi kihivyo kwenye mambo yenu.
Hakuna vigezo alikuwa anavuta mdaAliekwambia chato ni ya wasukuma nan?.Humu JF kuna watu mnaongea vitu utadhan vichwa hamna. Kwa faida tu kanda ya ziwa sio ya wasukuma tu, kuna wakurya,wahaya na zaid ya makabila 20+ madogo madogo.
Maguful hakushindwa kuforce chato iwe mkoa kipind kile, anamamlaka alikuanayo why hakuufany kuwa mkoa.Mbona simiyu ni mkoa toka kipindi cha JK yet mpaka leo 2023 simiyu still bado hakufai kuwa mkoa kwa izo hoja zenu.
Hatukatazwi kukosoa ila ukosoaji uliojaa chuki ni ukosaji weledi. Mtu anasema burigi national park ni kosa kuwa pale, serious [emoji15].Airport ya chato sio international ni normal, mtu na hili anakataa eti why chato kuwe na airport [emoji23][emoji23].
Mwingine anazungumzia hospital ya kanda why iko pale, kweli [emoji848]
Wewe na nani hamfurahii? 🤣Watanzania tunachofurahia ni kuwa chato kamwe haiwezi kuwa mkoa
Hapo ngoma ishatoka,hakuna cha mkoa wala niniHakuna vigezo alikuwa anavuta mda
Sisi watanzania tunafurahia sana kwa hili maana rasilimali za taifa zingepotea bureWewe na nani hamfurahii? [emoji1787]
Ndo maana nasema unatumia kichwa gan kufikir, kama cha chini bas nsikushangae?Chato ni kijiji tu na mtabakia hivyo hivyo dadeeekiii na mtalia sana
Kwishaaaa habari za chatoNdo maana nasema unatumia kichwa gan kufikir, kama cha chini bas nsikushangae?
Em jibu hoja acha blablaa. Sikai chato ila napajua chato na kwa kuwa umeleta madai ya kuwa chato ni kijijin bas ni haki yako kuthibitisha madai yako. Nasubir uthibitisho wa chato ni kijijin?
Gbadolite ya Chato Mr Sugu aliielezea vizuri sana Bungeni na ipo kwenye Hansard na abarikiweYaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.
Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.
Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
KwishaaaaGbadolite ya Chato Mr Sugu aliielezea vizuri sana Bungeni na ipo kwenye Hansard na abarikiwe
Wewe na nani? 🤣 Maana mie siko kwenye huo mkumbo.Sisi watanzania tunafurahia sana kwa hili maana rasilimali za taifa zingepotea bure