Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikurupuka haoWaliowekeza kule ndo imekula kwao
Tena wazo hili life na kuzikwa kabisaWazo la Wilaya ya Chato kuwa Mkoa liliibuka tangu enzi za utawala wa awamu ya tano ya Hayati Rais John Magufuli, hata hivyo limekuwa likijadiliwa katika ngazi mbalimbali kabla ya leo kukataliwa rasmi.
Chato wasahau kupata sifa ya kuwa mkoa maana haina sifa hizo hata baada ya miaka 10Tena wazo hili life na kuzikwa kabisa
Daah! Yaani nafurahije mie!. Maana yule dikteta alikusudia kukigeuza Kijiji cha Chato kuwa Jiji baada ya miaka 5Chato wasahau kupata sifa ya kuwa mkoa maana haina sifa hizo hata baada ya miaka 10
o yote yalisha lazimishwa na ile ajali ya bukoba ndio kabisa wangetengeneza ripoti kuwa kule hakufai kuwa na uwanja,Yule jamaa angeendelea kuwepo NHC wangejenga magorofa mengi Chato
Wizara ya Utalii ingejenga hotel nyingi.
Ndege zingelazimishwa kutua kule
Sema watanzania wengi sana kwa sasa wana furaha sana ukiondoa changamoto za hali ya maisha.Daah! Yaani nafuhije mie!. Maana yule dikteta alikudia kukigeuza Kijiji cha Chato kuwa Jiji baada ya miaka 5
madiwani na wabunge huko chatoKwani ni nani huyo , mana nishasahau yaliyopita , Sasa mambo yanasonga,
Hivi wewe bado hujaona tatizo la Magufuli kwenye hilo la kutaka kuundwa mkoa wa Chato?Mie sijazunguzia chato,ninazunguza kumuona Magufuli Shetani kisa anataka kugawa Mkoa utafikiri ndiye Rais wa kwanza Tanganyika kufanya hivyo,kama mnasema chato ina ineo dogo mbona amlalamiki mikoa ya Zanzibar?
Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato 😂😂.
Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa 👇
Hawa watu wanachuki binafsi na Magufuli akuna kingine unakuta Mtu anatoka Biaramulo anafuata uduma Bukoba njini ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 7 hawezi kwenda na kurudi siku hiyo hiyo,sasa Biaramulo ikimegwa kudogo ikapelekwa Chato ambapo ni karibu kuna ubaya gani?
unalazimisha member wa SUKUMA GANG atakuelewa?B
Hivi wewe bado hujaona tatizo la Magufuli kwenye hilo la kutaka kuundwa mkoa wa Chato?
Wadau hapa JF wanasema Chato haina sifa zozote za kuwa mkoa, Magufuli alipanga kuifanya Chato kuwa mkoa kwa sababu Chato ni nyumbani kwake. Na huo ndio upumbavu wa Magufuli unaopingwa.
na hiyo mikoa jirani ingemgwa tena vijiji anavyotaka yeye , ni kama upuuzi uliofanyika kumega mwanza , shinyanga kutengeneza simiyu, yaani sijui kwanini hatupendi muungano tunataka utengano?Muhusika hayupo ingeshakuwa kitambo
Amina.Ndio ujue sometimes tunaishi na shetani bila kujua, damu za watu zinalia sana, Mama samia Mungu akupe maisha marefu , yani hutaki damu ya mtu mikononi mwako.
SUKUMA gang wana uhasama na mama, lakini wacha Mungu na wasiotaka perepeche wanasimama na mamaNo Comment.
Hakuna jipya kwenye mada wala kutoka kwa Wachangiaji.
Uhasama tu.
..After Comment tsk tsk
.
Kwani huduma zipi hizo za kufuata mkoani kwani kama ni matibabu anaweza kwenda chato hivihivi na akatibiwa mie niko kahama ninadra sana kwenda shinyanga kufuata huduma huduma zoote zinapatikana wilayani kama matibabu huwa tunapewa rufaa moja kwa moja bugandoHawa watu wanachuki binafsi na Magufuli akuna kingine unakuta Mtu anatoka Biaramulo anafuata uduma Bukoba njini ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 7 hawezi kwenda na kurudi siku hiyo hiyo,sasa Biaramulo ikimegwa kudogo ikapelekwa Chato ambapo ni karibu kuna ubaya gani?