Ndoto za chizi natamani yafuatayo baada ya Samia kutawazwa

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo
Ongeza wako.
Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa wanasema napotesha wakati wao ndiyo wanaopotoka na kupotosha nyuzi zangu makini.
 
Halafu hilo neno "kutawazwa" ungelibadilisha. Maana linaleta ukakasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…