Ndoto za Irene Uwoya na Keisha zafutwa

Ndoto za Irene Uwoya na Keisha zafutwa

Hivi hawa watu wanajua maana ya ndoto.?? Km walijua wanataka kuwa viongozi baadae kwann wafanye ukahaba hadharani...hii ndio shida ya kuishi bila malengo...wanaruka ruka tu....
Kuishi kwa malengo ni muhimu..ona sasa wanajiabishisha .mipicha ya uchi yao imejaa kibao mtandaonj...wamuongoze nani..labda wa type zao...

Uko sahihi kabisa,ni vizuri mtu ukawa na vision pamoja na kuishi maisha yasiyokuaibisha na kukutengenezea dhana mbaya kwa watu. Sasa leo hii mtu picha zake akiwa uchi zinazagaa mitandao yote halafu pia na hiyo nafasi ya ubunge hajapata.
 
Back
Top Bottom