Ndoto za kutisha na ujauzito kuna uhusiano gani?

Ndoto za kutisha na ujauzito kuna uhusiano gani?

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Wakuu habari za asubuhi,

Poleni na majukumu ya hapa na pale, nimekuwa nikipata ndoto za ajabu sana za kutisha hasa kila nikiwa mjamzito.

Tafadhali wenye kuelewa naomba kufahamishwa, mara niko msituni, mara kwenye milima mirefu, mara mashimo.

Kiukweli naomba msaada.
 
Pole sana.. Omba na fanya ibada Mungu atakusaidia. shetani hutia hofu sana na woga wakati wa ujauzito. Mungu akutangulie umpakate mwanao salama
 
Samahani mama. Tena pole kwa uchovu wako,ila ningetaka ueleze yafuatayo:

Hii ni mimba ya ngapi? Je wengine (watoto) wote ulizaasalama? Je, ndoa yako ilikuwa ya kinamna gani? Mlipewa baraka zote na wazazi? Ulikuwa na mwingine huyu akakuchuka kwa nguvu flani? Eleza tu nasi tutakufunulia.

Pia usisahau kusema imani yako.
 
Samahani mama. Tena pole kwa uchovu wako,ila ningetaka ueleze yafuatayo:
Hii ni mimba ya ngapi? Je wengine (watoto) wote ulizaasalama? Je, ndoa yako ilikuwa ya kinamna gani? Mlipewa baraka zote na wazazi? Ulikuwa na mwingine huyu akakuchuka kwa nguvu flani? Eleza tu nasi tutakufunulia. Pia usisahau kusema imani yako
nimefunga ndoa kbsa tena ya halali na tukapata baraka zote.huyu mungu akijaalia ni wa pili.wakwanza nilikuwa naota hivyohivyo ila nilijifungua salama kbsa mkuu.
 
Pole sana.. Omba na fanya ibada Mungu atakusaidia. shetani hutia hofu sana na woga wakati wa ujauzito. Mungu akutangulie umpakate mwanao salama
shukrani sana mkuu.
 
nimefunga ndoa kbsa tena ya halali na tukapata baraka zote.huyu mungu akijaalia ni wa pili.wakwanza nilikuwa naota hivyohivyo ila nilijifungua salama kbsa mkuu.

bunited;
Najua umechoka sana na ujauzito lakini hukunijibu vizuri maswali yangu. Nilikuuliza jenwatoto hao wengine waa hai? Je, huyo mumeo alikuchukua kutoka kwenye uchumba au uhusiano mwingine? Ndoa yako ni ya; kanisani, msikitini au ya kienyeji, au bomani?
Wala usihofu, utapata majibu tu na njia ya kuzikataa hizo njozi ukiyajibu maswali hayo. Elewa kuwa, njozi hutafsiriwa na Mungu mwenyewe wala si mtu flani
 
Back
Top Bottom