Wakuu habari za asubuhi,
Poleni na majukumu ya hapa na pale, nimekuwa nikipata ndoto za ajabu sana za kutisha hasa kila nikiwa mjamzito.
Tafadhali wenye kuelewa naomba kufahamishwa, mara niko msituni, mara kwenye milima mirefu, mara mashimo.
Kiukweli naomba msaada.