Wakuu habari za asubuhi,
Poleni na majukumu ya hapa na pale, nimekuwa nikipata ndoto za ajabu sana za kutisha hasa kila nikiwa mjamzito.
Tafadhali wenye kuelewa naomba kufahamishwa, mara niko msituni, mara kwenye milima mirefu, mara mashimo.
Kiukweli naomba msaada.
nimefunga ndoa kbsa tena ya halali na tukapata baraka zote.huyu mungu akijaalia ni wa pili.wakwanza nilikuwa naota hivyohivyo ila nilijifungua salama kbsa mkuu.Samahani mama. Tena pole kwa uchovu wako,ila ningetaka ueleze yafuatayo:
Hii ni mimba ya ngapi? Je wengine (watoto) wote ulizaasalama? Je, ndoa yako ilikuwa ya kinamna gani? Mlipewa baraka zote na wazazi? Ulikuwa na mwingine huyu akakuchuka kwa nguvu flani? Eleza tu nasi tutakufunulia. Pia usisahau kusema imani yako
shukrani sana mkuu.Pole sana.. Omba na fanya ibada Mungu atakusaidia. shetani hutia hofu sana na woga wakati wa ujauzito. Mungu akutangulie umpakate mwanao salama
nimefunga ndoa kbsa tena ya halali na tukapata baraka zote.huyu mungu akijaalia ni wa pili.wakwanza nilikuwa naota hivyohivyo ila nilijifungua salama kbsa mkuu.