Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia.
Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu endelea kujitia ujinga tu!!Usiichukulie poa Iran...
Trump mwenyewe amenyosha mikono; kwa sasa ana tapa tapa; hivi majuzi kakimbilia China kuiomba isinunue bidhaa kutoka Irani ili Iran iishiwe nguvu aweze kushinda vita.
Baada ya zile ndege za marekani za kisasa na ghali sana kuweza kutungliwa, Trump ameishiwa power sasa anaogopa kupeka ndege....
Iran hana uwezo wa kufunga Mlango bahari wa Hormuz bali Marekani wao wamefunga ndiyo maana Iran inabwabwJa sana maana hana namna tena!!Mlango wa Hormuz umefungwa na Irani meli kwa mamia zikiwemo wa Marekani zimekwama pale Trump ameshindwa kuzipitisha. Nimjinga pekee atakaye amini kuwa Hormuz imeshikiliwa na wamarekani....
Wajinga tu na Wapumbavu ndito watauamia UHARO wako huu!!IRANI IMEIONESHA DUNIA KUWA, MAREKANI SI CHOCHOTE KWENYE VITA, PROPAGANDA NYIIINGI KULIKO UHALISIA! DOLA YENYE NGUVU DUNIANI INAENDA KUWA CHINA, MIAKA MICHACHE SANA IJAYO....
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu endelea kujitia ujinga tu!!
Iran hana uwezo wa kufunga Mlango bahari wa Hormuz bali Marekani wao wamefunga ndiyo maana Iran inabwabwJa sana maana hana namna tena!!
Wajinga tu na Wapumbavu ndito watauamia UHARO wako huu!!
Trump Juzi kaenda CHINA kuipigia magoti iache kununua bidhaa kutoka Iran; ili ikose fedha za kuendesha vita. Kama kweli Marekani inahiyo nguvu ya kijeshi inayo jisifia; kulikuwa na haja gani ya kwenda china kulia lia? KELELE NYIIINGI KUMBE YA KAWAIDA TU.......Hizo ni ndoto za Mwendawazimu endelea kujitia ujinga tu!!
Iran hana uwezo wa kufunga Mlango bahari wa Hormuz bali Marekani wao wamefunga ndiyo maana Iran inabwabwJa sana maana hana namna tena!!
Wajinga tu na Wapumbavu ndito watauamia UHARO wako huu!!
Misukule ya Netanyau na Trump ipo kaziniBaada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia.
Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
Ukiwa Mwarabu-koko isiwe sababu ya wewe kukosa akili!!!Misukule ya Netanyau na Trump ipo kazini
Hivi unajua kuwa Irani hajawahi kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel hata mara Moja?
Kwa kuwa umeamua kujitoa ufahamu endelea kuwa msukule wa waarabuIla Israel wao wameanzisha mashambulizi dhidi ya Irani zaidi ya mara 100?
Marekani na ulaya wameanzisha taifa lao pale la wazayuni ( Israel) Ili waitawale middle east iwe rahisi kwao kupora rasilimali za waarabu lakini hawawezi kuotawala middle east kama Irani yupo
Kwahiyo anayetakiwa kufutwa au kusambalatishwa ni Irani sio Taifa la wazayuni ( Israel)
Ila mambo haya nyinyi misukule ya Trump hamuwezi kuelewe
Acha ujinga hapo Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Marekani!!Tuseme ipo ivi. Marekani yeye anazuiya Meli za kutokea Iranian tu!
na Iranian inazuiya Meli zote zisizopitia process zao ✅️
Usiumie sana wewe ndiye uwaambie hao magaidi wapunguze hizo ndoto za Mwendawazimu za kuipangia siku Israel kufutika.Waambie MOSSAD waende wakalitoe hilo bango.
Mambo yasiwe mengi.
Iran imetojitokeza bila mipango ya Mungu?Usiumie sana wewe ndiye uwaambie hao magaidi wapunguze hizo ndoto za Mwendawazimu za kuipangia siku Israel kufutika.
Waambie hao magaidi watafutika wao kwanza na Israel haitafutika maana ni mpango wa Mungu!!
Kwani hao magaidi hawajaumbwa na Mungu?kuunda makundi ya kigaidi si mpango wa Mungu!!
Kumbe unaamini katika uwepo wa Miungu wengi!?Mungu wetu sisi hajaumba magaidi labda Mungu wenu Allah ndiye kaumba magaidi
DiniKila mtu anahaki ya kushabikia kile anachoamini hivi kwanini wendawazimu wengi wakiambiwa kuhusu anguko la Iran wanahaha