Ndoto zangu nikuwa mwandishi wa habari, Naomba ushari

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
nimemaliza 4mfour 2012 Nilipata points26, Civ- d, geo- d, histr- c, kisw- c, eng- d, bios- d, chem- d, math- f

Tangu nipo primary school niltaman niwe mwandish wa habar, but naona nitashindwa kutmiza malengo kwa sababu wanaonisomesha wanataka niende ualimu huku wakidai uandish wa habar hauna ajira, cjajua nifanyeje ambapo mimi cfikirii kuwa ticha. ushaur wenu naomba ili niweze timiza ndoto zangu hata km ni kwa baadae.
 

mkuu, kwa uandishi wa post kwa style hii ya kifesibuku na whatsapp..hebu edit faster usaidiwe na wanaojua
 
Kama hivo nenda ualimu ujipange vizuri baadae utasomea unachokitaka,kuanzia ualimu siyo mwisho wa ndoto as long as baadae unaweza fungua fursa kutimiza ndoto yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…