Ndoto zangu nikuwa mwandishi wa habari, Naomba ushari

Ndoto zangu nikuwa mwandishi wa habari, Naomba ushari

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
nimemaliza 4mfour 2012 Nilipata points26, Civ- d, geo- d, histr- c, kisw- c, eng- d, bios- d, chem- d, math- f

Tangu nipo primary school niltaman niwe mwandish wa habar, but naona nitashindwa kutmiza malengo kwa sababu wanaonisomesha wanataka niende ualimu huku wakidai uandish wa habar hauna ajira, cjajua nifanyeje ambapo mimi cfikirii kuwa ticha. ushaur wenu naomba ili niweze timiza ndoto zangu hata km ni kwa baadae.
 
nimemaliza 4mfour 2012 Nilipata points26,,
Civ_d
geo_d
histr_c
kisw_c
eng_d
bios_d
chem_d
math_f
tangu nipo primary school niltaman niwe mwandish wa habar,,but naona nitashindwa kutmiza malengo kwa 7bu wanaonisomesha wanataka niende ualimu huku wakidai uandish wa hbr hauna ajira,,cjajua nifanyeje ambapo mm fact cfikirii kuwa ticha...ushaur wenu naomba ili niweze tmiza ndoto zangu hata km ni kwa baadae....

mkuu, kwa uandishi wa post kwa style hii ya kifesibuku na whatsapp..hebu edit faster usaidiwe na wanaojua
 
Kama hivo nenda ualimu ujipange vizuri baadae utasomea unachokitaka,kuanzia ualimu siyo mwisho wa ndoto as long as baadae unaweza fungua fursa kutimiza ndoto yako
 
Back
Top Bottom