Ndoto zina maana yoyote?

Hii umeota kweli au umeandika tu just kufurahisha genge?😊😊
 
1. Ndoto zina maana.
Hakuna ndoto zisizo na maana.

Maana ya ndoto inaweza kuwa ya Kimwili au Kiroho.
Kimwili ndoto mtu anaota kulingana na mwili kuchoka, kuumwa, Kula chakula kingi ukashiba.


Kiroho
Ndoto ni inatoa taarifa za nini kinaendelea kwenye maisha yako au nini kitatokea
 
Ulishiba au ulikuwa umepata bia
 
Wewe kama mimi

mimi siku mbaya naijua... kama timu yangu itapoteza mechi ñajua, kama kuna mgeni au furaha najua.

Vyote kupitia ndoto tu.

Kizuri inatakiwa uujue mwili wako,

yaani mimi ndoto ya kweli najua na ndoto za aliniacha za bla bla nazijua.
 
Nijuavyo Mimi kama unaota ndoto za mfu sanaaa basi Kuna Jambo anataka kukwambia la msingi sana na pia zingatia Yale maneno mnayopiga stori Kuna code ndani yake.

Ila ukiota mfu anakuita daah hiyo Ngoma inakuita Sana.

Ukimuona mfu ndotoni analia Sana basi kifo chake ni cha dhulma (MSUKULE)
 
Mimi nachokumbuka yupo kwenye ndoto lakini ndoto inahusu nini sikumbuki hata
 
Mimi kama nimeota ndoto ya kweli itakayotokea huwa ninaamka na huxuni sana na hii imenitokea mara nyingi na matokeo huwa ni 100%
Hii hata Mimi hua inanitokea sana mda mwingine naweza kuota ndoto ikanifanya nisiwe na raha tu, mda mwingine naweza nisiote ndoto lakini gafla nikakosa amani tu...hapo nikipiga simu Kwa watu wa karibu lazima nipate taarifa flani mara nyingi inakua sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…