Ndoto zina maana yoyote?

Ndoto zina maana yoyote?

Nimeota niko na Reginald Mengi, tuko na Lusajo Mwaisaka, Robo Cop, nimeshika kitabu, kimeandikwa 66, basi, nikamwambia Mengi kesho nitakuwa na miaka 6, basi kesho yake 10/03 akaja amevaa ngongoti, kuna muda akapoteza balance, akataka kuanguka, nikamuwahi kuzuia asianguke. Akasema yupo vizuri, nikamwambia ni lazima uende Hospitali. Akaliachia fumbo ndefu na kibakuli cha DHAHABU.

CC:-
sajjo
Hii umeota kweli au umeandika tu just kufurahisha genge?😊😊
 
1. Ndoto zina maana.
Hakuna ndoto zisizo na maana.

Maana ya ndoto inaweza kuwa ya Kimwili au Kiroho.
Kimwili ndoto mtu anaota kulingana na mwili kuchoka, kuumwa, Kula chakula kingi ukashiba.

Kiroho
Ndoto ni inatoa taarifa za nini kinaendelea kwenye maisha yako au nini kitatokea
 
Habari za usiku wakuu,

Nimetoka kazini jioni ya leo

Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita

Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
Ulishiba au ulikuwa umepata bia
 
1. Ndoto zingine hutokana na mawazo tu au kazi nyingi

2. Ndoto za vifo, au kuwa shuleni au kufukuzwa na wanyama wakali...hapa kuna tatizo.

Note; ndoto hutegemea na muotaji.

Mimi kama nimeota ndoto ya kweli itakayotokea huwa ninaamka na huxuni sana na hii imenitokea mara nyingi na matokeo huwa ni 100%
Wewe kama mimi

mimi siku mbaya naijua... kama timu yangu itapoteza mechi ñajua, kama kuna mgeni au furaha najua.

Vyote kupitia ndoto tu.

Kizuri inatakiwa uujue mwili wako,

yaani mimi ndoto ya kweli najua na ndoto za aliniacha za bla bla nazijua.
 
Habari za usiku wakuu,

Nimetoka kazini jioni ya leo

Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita

Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
Nijuavyo Mimi kama unaota ndoto za mfu sanaaa basi Kuna Jambo anataka kukwambia la msingi sana na pia zingatia Yale maneno mnayopiga stori Kuna code ndani yake.

Ila ukiota mfu anakuita daah hiyo Ngoma inakuita Sana.

Ukimuona mfu ndotoni analia Sana basi kifo chake ni cha dhulma (MSUKULE)
 
Mimi nachokumbuka yupo kwenye ndoto lakini ndoto inahusu nini sikumbuki hata
 
Mimi kama nimeota ndoto ya kweli itakayotokea huwa ninaamka na huxuni sana na hii imenitokea mara nyingi na matokeo huwa ni 100%
Hii hata Mimi hua inanitokea sana mda mwingine naweza kuota ndoto ikanifanya nisiwe na raha tu, mda mwingine naweza nisiote ndoto lakini gafla nikakosa amani tu...hapo nikipiga simu Kwa watu wa karibu lazima nipate taarifa flani mara nyingi inakua sio nzuri
 
Back
Top Bottom